Mbunge
Mandhari


Advertisement
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika bunge.

Advertisement
Katika nchi mbalimbali anawakilisha hasa wale wa jimbo kililomchagua.

Advertisement
Mara nyingi kuna wabunge wa kuchaguliwa na wale wa kuteuliwa.
Nchini Tanzania
[hariri | hariri chanzo]Sehemu ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inasema: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa katiba hii”
Ibara ya 63(2), pia na Ibara ya 64(1) inaelezea kazi za Bunge, juu ya kutunga sheria.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |